Translate

Mwanamfalme aliyekiri kuua akatwa shingo Saudi Arabia

Mwanamfalme mmoja nchini Saudi Arabia ameuawa kutokana na makosa ya kumuua mwanamume baada ya mzozo miaka mitatu iliyopita mjini Riyadh, ...

Nduguye Obama kuwa mgeni wa Donald Trump kwenye mdahalo

Maafisa wa kampeni wa mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump wamepanga kumwalika kaka wa kambo wa Rais Barack Obama kuhudhuria m...

Zitto Atoa Neno Ugomvi wa RC Arusha na Godbless Lema

Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameamua kutoa ya moyoni kufuatia hali iliyojitokeza jana mkoani Arusha wakati wa uzinduzi w...

Mourinho: Tulidhibiti mechi na kuwanyamazisha mashabiki wao

Mkufunzi wa man United Jose Mourinho Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa timu yake ilidhibiti mpira pamoja na...

Mtangazaji aliyemhoji Trump afutwa kazi

Shirika la utangazaji la NBC nchini Marekani limemfuta kazi mtangazaji Billy Bush ambaye amekuwa akiendesha kipindi cha Today. Mgombea urais...

Watu 13 Kizimbani Kwa Mauaji ya Watafiti Dodoma

Wanawake wanne na wanaume tisa wamefikishwa mahakamani mjini Dodoma na kusomewa mashtaka ya mauaji ya watafiti wa Chuo cha Utafiti wa Udo...

Ofisi ya Republican yarushiwa bomu Marekani

Ofisi moja ya chama cha Republican katika jimbo la North Carolina imeharibiwa na moto huku jengo lililo karibu yake likipakwa rangi ya nembo...

Mourinho kuchunguzwa na FA juu ya kauli kwa mwamuzi

Matamshi ya Jose Mourinho kuhusu uteuzi wa mwamuzi anaeshabikia Manchester United Anthony Taylor kwa mchezo wa ligi kuu England kati ya Manc...

'RUSSIAN PRESIDENT PUTIN ORDERS ALL RUSSIANS STUDYING ABROAD TO RETURN HOME AS HE PREPARES FOR POSSIBLE WORLD WAR III'

Vladmir Putin, Russia's president and 2016 most powerful man in the world according to Forbes has ordered the children and relatives ...

Ujenzi wa reli mpya Tanzania kuharakishwa

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiagana na Naibu Waziri wa Biashara kutoka China Qian Keming baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu, Da...

Pacha walioshikana kichwani watenganishwa New York

Wavulana wawili pacha ambao walikuwa wameshikana vichwani wametenganishwa na madaktari mjini New York, Marekani. Jadon na Anias McDonald wa ...

VIDEO: KAGERA ALL STAR FT BAGHDAD INAANZA NA WEWE (KAGERA TETEMEKO)

Tazama video hapa kama umependa share na kwawengine kusapoti hii video SHARE THIS

Chris Brown kurudisha penzi lake kwa Rihanna upya....

Chris Brown anaanza kuonekana kama anataka kurudisha namba ambayo imepotea kwa Rihanna. Kupitia mtandao wa Hollywoodlife umerip...

Bilionea Mohammed Dewji Akoshwa na Mafanikio ya Mwanamuziki Diamond...Asema Haya

Miongoni mwa bilionea wa Afrika aliyekuwa Mbunge wa Singida na CEO wa MeTLGroup, Mohammed Dewji, afunguka kuhusu Diamond platnumz. Dewji am...

Diamond Kufanya Collabo na Mwanamuziki Usher Raymond....

Spidi ya Diamond kulitafuta tobo la Marekani inatisha. Akiwa na collabo kibindoni na French Montana, Yo Gotti na Ne-Yo ambaye watakuwa na zi...