Translate

Wapiganaji 38 wa Boko Haram wauawa Niger





Jeshi la Nigeria linasema wanajeshi wake pamoja na wale kutoka Chad, wamewauwa wapiganaji 38 wa Boko Haram, kusini mashariki mwa Niger.


Jeshi linasema silaha nyingi zilipatikana katika operesheni hiyo.




Boko Haram ilianza Nigeria, lakini inazidi kutapakaa katika nchi jirani.


Mapambano ya kundi hilo, yamefanya watu kama milioni mbili na nusu kukimbia makwao.

Kikosi cha kimataifa, chenye wanajeshi wa Nigeria, Niger, Chad na Cameroon, kinaongoza operesheni dhidi ya Boko Haram.

SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment